Image
Afya ya jamii

Afya ya jamii (84)

Kwa habari kedekede za afya

Watafiti kutoka kampasi ya chuo cha Gustave Roussy Cancer Campus cha nchini Ufaransa wamesema ya kwamba matibabu ya saratani ya uume kwa kutumia brachytherapy (mionzi)

Wanaume wanaovuta bangi wapo kwenye hatari ya kupata watoto wenye matatizo ya kiakili kama kutomudu masomo ya darasani, wamesema wanasayansi kutoka chuo kikuu cha Pennsylvania, nchini Marekani.

Kati ya maambukizi yanayowasumbua wanawake wengi duniani ni maambukizi ya fangasi. Inakisiwa asilimia 75 ya wanawake wote duniani hupata maambukizi haya katika kipindi cha uhai wao. 

Hakuna ubaya wowote kwa mtu kutaka kupendeza. Swala la kuonekana mzuri au kuwa mtanashati limekuwa sehemu muhimu kwa maisha ya binadamu hususani upande wa dada zetu. Si

Dawa za kuongeza makalio ni kitu kilichopata umaarufu wa ghafla miongoni mwa kina dada wengi duniani na hata katika jamii yetu. Siku hizi haishangazi

 Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Ni ukweli usiofichika kwamba wengi wetu tungependa kuwa na mwenza ambaye mnaridhishana

Ni tatizo la ngozi ambalo linaifanya ngozi kuwa nyekundu, kuvimba/kuwasha au kupata mcharuko (inflammation) baada ya kugusana na kitu kinachochangia mwili kucharuka au kupata mzio (allergic

Hatari ya Kukakamaa kwa mwili  huongezeka kwa mtu mwenye kiharusi  au vihatarishi vya kiharusi kutokana na utafiti uliofanywa Rotterdam uholanzi.

Sehemu

Ukurasa 2 ya 6