Afya ya jamii (84)
Kwa habari kedekede za afya
Children categories
Chai Huongeza Uwezekano wa Kupata
Written by Dr KhamisUtafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Marekani cha Boston umesema unywaji wa chai vikombe viwili kwa siku huongeza uwezekano wa mwanamke kupata ujauzito. Katika utafiti uliohusisha wanawake 3,600
Mambo ya Kuzingatia Kabla ya
Written by Dr KhamisZamani ilikuwa ni kawaida kuona wanawake wanatoboa masikio, pua, ili kuvaa aina mbalimbali za herini na shemeri. Siku hizi si ajabu kuona wanaume na wanawake wakijitoboa au
Matumizi ya mafuta ya nazi
Written by Dr Fabian P. MghangaMakala hii iliandikwa na Dada Subi wa tovuti ya wavuti.com akizungumzia kuhusu umuhimu wa kufanyika kwa utafiti juu ya dhana
Mnamo mwaka 2007, watafiti nchini Marekani walifanikiwa kutoa ripoti inayojaribu kuhusisha ukosefu wa usingizi na upungufu wa homoni ya testosterone miongoni mwa wanaume watu wazima.
Kwa
Utafiti mpya uliofanyika nchini Marekani umesema ya kwamba kula machungwa na zabibu kunaweza kupunguza uwezekano wa kupata kiharusi (Stroke).
Utafiti huo uliangalia faida za matunda
Seli Asilia Kuongeza Uwezo wa
Written by Dr KhamisWanasayansi wamegundua seli asilia (Stem Cells) kwenye mayai ya mwanamke (Ovaries) ambazo baadae zinaweza kutengeneza kiwango kikubwa kisicho na ukomo cha mayai ya uzazi ya awali (Oocytes).
Korodani Bandia Kutengeneza Shahawa?
Written by Dr KhamisWanasayansi nchini Marekani wako mbioni kutengeneza korodani bandia (artificial testicle) zitakazokuwa zikitengeneza shahawa ili kusaidia wanaume wenye matatizo ya uzazi.
Timu ya wanasayansi katika jimbo
Hiatus Hernia (Ngiri ya Kwenye
Written by Dr KhamisMore...
Jinsi ya Kupunguza Uzito Wako (
Written by Dr KhamisKatika sehemu hii ya mwisho, mazoezi yamepungua sana. Baada ya kukamilisha mwezi mzima wa ratiba hii na kuona mabadiliko makubwa katika mwili wako, sasa unaweza kufanya ratiba
Tatizo la Kuota Matiti kwa
Written by Dr KhamisTatizo la kuota matiti kwa wanaume na watoto limekuwa kubwa sana katika dunia ya leo. Inawezekana kabisa wakati unatembea njiani ukaona wanaume
Jinsi ya Kupunguza Uzito Wako (
Written by Dr KhamisKuanzia siku ya 15 hadi ya 23, muda wa mazoezi umeongezeka na sit-ups pia zimeongezeka. Kama ulifuatilia kwa makini, basi nadhani umeshaanza kuona mabadiliko katika mwili wako.Wale wenye


