Kamwe usimtikise mtoto mchanga!!
SHAKEN BABY SYNDROME (SBS) NI NINI? Utangulizi: Umewahi kuwaza kwamba unaweza kumpoteza mwanao mchanga kwasababu ya kumtikisa? Shaken Baby Syndrome (SBS), au " sindromu ya watoto kutikiswa ," ni...
Kuchelewa hatua za kukua kwa watoto (delayed pediatric developmental milestones)
Utangulizi: Kuna hatua muhimu katika ukuaji na maendeleo ya watoto zinazoitwa developmental milestones) ingawa kila mtoto ni tofauti na maendeleo yanaweza kutofautiana, kuna hatua tunazotarajia...
Je UTI ni ugonjwa wa zinaa (STI)?
Utangulizi: Mara nyingi tumeona katika mitandao ya kijamii au katika story za vijiweni tunasikia maambukizi ya njia ya mkojo(UTI) yakihusishwa na magonjwa ya zinaa. Je swala hili lina ukweli ndani...
0
Watu tuliowafikia (2020)
0
Nchi tulizozifikia (2020)
0
Active users (2020)
Fuatilia maendeleo ya ujauzito kupitia TanzMED
Nyenzo hii, inakuwezesha kufuatilia maendeleo ya ujauzito, kanuni bora za afya wakati wa ujauzito na hata dalili hatarishi wakati wa ujauzito wiki hadi wiki, kuanzia wiki ya kwanza mpaka unapojifungua. Pia, utaweza kupata ushauri wa Daktari pindi unapohitaji.