Umri wa mtoto kuanza kung'
Written by TanzMED AdminKwa kawaida, meno ya mtoto ya utotoni (meno ya awali) huanza kutoka kuanzia miaka 6. Kwa baadhi ya watoto, huweza kuchelewa kuanza kutoka meno ya utotoni hadi wanapoanza
Afya ya Kinywa na meno
Written by TanzMED AdminAfya bora ya kinywa na meno kwa mtoto ni muhimu sana na ina uhususiano wa moja kwa moja na afya yake kwa ujumla. Humuepusha mtoto kupata maumivu,
Kumekuwa na taarifa mbalimbali zinazoripotiwa hapa nchini kuhusu watoto wanaozaliwa wakiwa wameungana. Jamii ya watanzania itawakumbuka sana watoto wa aina hiyo waliofahamika kwa majina ya Mariamu na
Je kukojoa baada ya tendo
Written by Dr KhamisSiku hizi, kumekuwa na taarifa nyingi juu ya masuala ya uzazi. Taarifa hizi hutokana na imani tofauti zilizopo kwenye jamii. Na, nyingi ya imani hizi hazina uhakika
Je ninaweza kupata mimba baada
Written by Dr.MayalaNdiyo, kuna uwezekano wa kupata ujauzito mara baada ya kujifungua kabla haujapata mzunguko mwingine wa hedhi. Hii ni kwa sababu, yai la mwanamke huwa linapevuka wiki mbili
Fibroids; Chanzo, vipimo na matibabu
Written by Dr KhamisFibroids ni moja ya matatizo yanayowasumbua wanawake wengi , kwa lugha ya kawaida, Fibroids maana yake ni uvimbe wa msuli wa kifuko cha uzazi. Uvimbe huu unaweza kuwa
Muda gani inafaa kubeba mimba
Written by Dr KhamisWatoto Wanaokunywa Juisi wapo Kwenye
Written by Dr Khamis- Utafiti mpya unaonesha ya kwamba watoto wanaokunywa juisi au ambao mama zao walikunywa vitu vyenye sukari kipindi cha ujauzito wapo kwenye hatari kubwa ya kuugua ugonjwa
Kujumuika kula Chakula kwa Pamoja
Written by Dr KhamisWatoto ambao hula chakula cha usiku pamoja na familia yao wanakuwa na afya njema kiakili na kimwili na wana uwezekano mdogo wa kupenda kunywa soda na vyakula
More...
Sio siri duniani kuna baadhi ya nchi ambazo zimeruhusu mama mjamzito kufanya uamuzi wa kutoa mimba (abortion) bila kuwepo kwa sababu zozote za msingi za kitabibu. Baadhi
Muda muafaka wa kufanya tendo
Written by Dr.MayalaKipindi cha kunyonyesha ni kipindi kigumu sana kwa mama kwani huambatana na uchovu mwingi unaotokana na kuongezeka kwa majukumu ya kumhudumia mtoto mchanga ambayo huchangia kwa mama
Dawa za uzazi wa mpango
Written by Dr KhamisUtafiti uliofanyika nchini Uingereza kwa kuhusisha wanawake 46,000 umesema ya kwamba matumizi ya dawa za uzazi wa mpango hupunguza hatari ya kupata saratani ya mayai ya mwanamke (
Sababu na dalili za Kuharibika
Written by Dr KhamisKuharibika kwa Mimba ni nini?
Utangulizi
Kuharibu/kuharibika kwa mimba kwa njia ya kutoa kiinitete (embryo) au mjusi (fetus)