Dr.Mayala
Dr.Henry A Mayala ni daktari bingwa Wa Tiba ya moyo katika taasisi ya Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI), ambaye kwasasa anasomea shahada ya uzamivu (PhD) ya Tiba ya Moyo katika Chuo Kikuu cha Tongji nchini China.
Hatari za kubeba ujauzito
03 Apr 2017Tatizo la kufunguka mlango wa kushoto wa moyo unaotenganisha chumba kidogo na kikubwa cha moyo na kuzuia kupita kwa
Kukakamaa kwa mwili kutokanako
24 Ago 2017Hatari ya Kukakamaa kwa mwili huongezeka kwa mtu mwenye kiharusi au vihatarishi vya kiharusi kutokana na utafiti uliofanywa Rotterdam
Ugonjwa Wa Kupooza (Poliomyelitis)
22 Apr 2017Polio ni ugonjwa wa kuambukiza usababishwao na virusi, huathiri neva na kusababisha ulemavu.
Kutokana na taarifa
Ufahamu ugonjwa wa Homa
19 Apr 2017Dengue ni ugonjwa unaosababishwa na virusi viitavyo Dengue vinavyosambazwa na mbu aina ya Aedes . Mbu huyu anayeambukiza homa ya
Magonjwa Yasiyo ambukizi(Non-Communicable
20 Jun 2013Ni moja kati ya magonjwa sugu ambayo sio ambukizi kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine. Vilevile ni
Mapafu Kujaa maji
22 Apr 2017Ni pale ambapo kunakuwa na mkusanyiko wa maji kati ya kuta mbili zinazozunguka mapafu. Kujaa huku kwa maji husababisha
Maambukizi katika kuta za
14 Apr 2017Hutokea pale vimelea (bakteria) wanapovamia kuta za ndani za moyo (endocardium), zikiwepo valve na kusababisha maambukizi.
Hakuna
Ugonjwa wa Moyo Unaosababishwa
25 Apr 2017Ugonjwa wa moyo unaosababishwa na simanzi au kuachana na mpenzi/mwenza wako yoyote yule hujulikana kitaalamu kama Takostubo au
Pingamizi La Upumuaji Usingizini (
28 Apr 2017Pingamizi la upumuaji usingizini ni hali ya kushindwa kupumua kwa kutumia pua au mdomo kwa muda wa sekunde 10 wakati