Dr.Mayala
Dr.Henry A Mayala ni daktari bingwa Wa Tiba ya moyo katika taasisi ya Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI), ambaye kwasasa anasomea shahada ya uzamivu (PhD) ya Tiba ya Moyo katika Chuo Kikuu cha Tongji nchini China.
Vyandarua Vilivyowekwa Dawa
01 Mai 2011Chandarua hutoa kinga dhidi ya mbu, nzi na wadudu mbali mbali wasambazao magonjwa, hivyo kuzuia magonjwa kama malaria, homa