Image

Watafiti kutoka kampasi ya chuo cha Gustave Roussy Cancer Campus cha nchini Ufaransa wamesema ya kwamba matibabu ya saratani ya uume kwa kutumia brachytherapy (mionzi)

Fangasi wapo kila mahali, kwenye miti, mimea, mchanga, ndani majumbani mwetu na hata kwenye ngozi ya binadamu.Aina nyingi ya fangasi hawasababishi madhara yoyote kwa binadamu isipokuwa

Katika dunia ya leo, wengi wetu tumekuwa tukifanya kazi kwa muda mwingi, hata kutufanya tukose muda wa kufanya mazoezi. Siku hizi, wengi wa wafanyakazi wamekuwa kwenye magari,

Habari! Karibuni tena katika muendelezo wa makala zetu kuhusu Kisukari ambazo zinapatika katika tovuti pendwa ya TANZMED, Mara ya mwisho tulikumbushana kuwa wewe ndio tabibu ama daktari

Vijiwe hivi  hutokana na  madini chumvi au tindikali mbalimbali zinazotolewa mwilini.

Vijiwe katika figo husababishwa na nini?

Kwa kiasi kikubwa,

Maambukizi ya njia ya mkojo (UTI) husababishwa na vimelea kitaalamu hujulikana E. Coli. Vimelea hawa huishi huishi kwenye mfumo wa chakula bila kuleta madhara yoyote wawapo humo,

Madawa ya kulevya yameleta athari sana katika jamii, kutokana na ile hali ya kufanya hisia ya utegemezi, kwamba mtu anaona hawezi kufanya chochote bila kupata japo kidogo.

Dengue ni moja kati ya homa kali inayodhoofisha na  kuambatana na maumivu makali. Kwa sasa hakuna kinga ya homa ya dengue, njia pekee ya kuepuka ugonjwa huu

Hakuna ubaya wowote kwa mtu kutaka kupendeza. Swala la kuonekana mzuri au kuwa mtanashati limekuwa sehemu muhimu ya maisha ya binadamu hususani upande wa dada zetu. Si

Makala hii ni muendelezo wa makala ya kwanza kuhusu Sababu na Dalili za Kuharibika kwa Mimba, katika sehemu ya kwanza ya 

Ukurasa 6 ya 21