Image
Dr Juma Magogo

Dr Juma Magogo

Specialist Neurosurgeon at Muhimbili MOI na Mkurugenzi wa The Cure Specialized Polyclinic specializes in minimally invasive spine surgeries and pediatric neurosurgery. He's passionate about neuro-rehabilitation and has extensive expertise in treating vascular brain and spine diseases. He's also dedicated to addressing neurologic health disparities in underserved communities.

Saratani ya ubongo ni uvimbe uliotokana na mkusanyiko wa chembebehai za ubongo zilizotengenezwa kwa wingi bila mpangilio kutokana na

Kichwa kikubwa ni ugonjwa wa watoto wachanga wa kutanuka chemba za maji za kichwani na hivyo kupeleka muonekano wa

Kipanda uso ni ugonjwa wa kinasaba unaosababisha maumivu makali ya kichwa kwenye paji la mbele la uso zikiambatana na

Kiharusi ni hali ya kuziba (ischemic) au kupasuka (hemorrhagic) kwa mishipa ya damu ya ubongo

Kifafa ni milipuko na mivurugano ya mfumo wa umeme wa kwenye ubongo kunakoweza kupelekea kupoteza fahamu kwa