Image

Kila siku inahitaji mlo wa kipekee kwa makuzi ya mtoto

Ni muhimu kwa mzazi/ mlezi kufahamu aina ya chakula kimfaacho mtoto wake hususani yule aliye katika umri wa miezi tisa na nusu mpaka miaka  sita. Aina hizi za vyakula na jinsi ya uandaaji wake hutofautiana sana na zile anazokula mtoto mkubwa au mtu mzima. Leo, mtaalamu wetu wa  mapishi, Chef Issa anatuletelea ratiba ya chakula cha mtoto wa umri huo.

ratiba-ya-mlo-wa-mtoto

 

Kwa makala ya awali na majadiliano juu ya ratiba ya chakula kwa moto unaweza kusoma Ratiba ya Chakula cha Mtoto Kuanzia Miezi 9 Mpaka Miaka 6

Imesomwa mara 6090 Imehaririwa Jumatano, 09 Oktoba 2019 16:52
Issa Kapande

As Chef into with excellent qualification and a strong desire to excel in this professional in Hazard Analysis and critical control points (HACCP) which enable me to demonstrate my commitment to food safety and customer satisfaction, as well as continuously meeting the expectations of a changing world.

activechef.blogspot.com | Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Makala shabihana