Image

Ratiba ya chakula, mtoto kuanzia miezi 9 mpaka miaka 6

Ni muhimu kwa mzazi/ mlezi kufahamu aina ya chakula kimfaacho mtoto wake hususani yule aliye katika umri wa miezi tisa na nusu mpaka miaka sita. Aina hizi za vyakula na jinsi ya uandaaji wake hutofautiana sana na zile anazokula mtoto mkubwa au mtu mzima. Leo, mtaalamu wetu wa mapishi, Chef Issa anatuletelea ratiba ya chakula cha mtoto wa umri huo.

Imesomwa mara 59931 Imehaririwa Jumatano, 06 Machi 2019 16:46
Issa Kapande

As Chef into with excellent qualification and a strong desire to excel in this professional in Hazard Analysis and critical control points (HACCP) which enable me to demonstrate my commitment to food safety and customer satisfaction, as well as continuously meeting the expectations of a changing world.

activechef.blogspot.com | Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.