Kifungua kinywa |
Chakula cha mchana |
Kitafunwa cha jioni |
Chakula cha usiku |
|
JUMATATU |
Chapati maji, juisi chungwa, uji ulezi changanya mtindi |
Glasi ya maziwa na mkate wa nyama za kusindika |
Shani ya mchanganyiko wa mboga mbichi |
Supu ya uyoga, kuku wa maziwa, mihogo na njegere |
JUMANNE |
Mtindi wa matunda, mkate wa mayai na nafaka za kukaushwa |
Chapati ya nyama ya kusaga, na chips au viazi vya kusaga na juisi ya nanasi |
Salad ya kuku wa kuchemsha, mtindi na matunda mchanganyiko |
Keki ya spinach, viazi vitamu na juisi ya maembe |
JUMATANO |
Yai la kuvuruga, mkate wa ufuta na uji wa soya |
salad ya kuku mchanganyiko wa mboga na passion juisi |
Mtindi usio na ladha ya matunda na mchanganyiko wa matunda |
Kipande vya nyama ya ngombe na tambi |
ALHAMISI |
Chapati maji ya mdalasini na vipande vya apple, juisi ya carroti na embe |
Bata mzinga wa bacon, Parachichi na glasi ya maziwa |
Pop corn za asali na mchanganyiko wa matunda |
(cottage pie) nyama ya kusaga na viazi vya kuponda na maziwa |
IJUMAA |
Sandwich ya mayai Uji wa mahindi na maziwa namatunda mchanganyiko |
Chemsha Fillet ya samaki, mahindi njano machanga, na maharage |
Mkate wa Pita, njugu mawe naufuta wakusaga glass ya maziwa |
Mboga majani za kuoka na samaki na ndizi na strawberry smoothie |
Katika makala zijazo, Chef Issa atatuletea jinsi na namna ya kuandaa milo hiyo katika siku hizo kulingana na ratiba.
Kwa maelezo zaidi, tembelea blog ya www.activechef.blogspot.com ambapo Chef Issa anachambua na kuelezea namna ya kuandaa mapishi mbali mbali kwa ufundi na ubora wa hali ya juu. Kwa mawasiliano, unaweza kumuandikia kupitia email yake ya issakesu@gmail.com